Shopping Center Yetu Osgood
Picha hizi chache nimezikusanya hapa kuongesha shopping center yetu mpya hapa Osgood. Miezi michache iliyopita eneo juli lilikuwa na mashamba ya alizeti, lakini kuanzia mwazoni mwa mwezi wa tisa mwaka jana kumefanyika ujezi mzito sana.
Picha hii ya kwanya inaonyesha shopping center inavyoonekana kutokea nyumbani kwetu.

Picha hii ya pili inaonyesha main entrance ya Honbacher's supermarket ambayo ndiyo kubwa iliyopo katika shopping center hiyo.

Picha hii ya tatu inaonyesha mbele ya hiyo shopping center kutokea kona nyingine

Picha hii ya nne inaonyesha parking lot iliyowekwa ku-accomodate shoppers

Kuna services kadhaa zilizoweka kumpunguzia bugudha shopper. Service ya kwa kwanza ni benki; kumejengwa benki tatu, mojawapo ya benki hizo ni hii hapa iliyoambatishwa hapo pembeni. Hii iko kwenye kona ya 45 street and 4o avenue. Nadhani unaweza kuliona lile kanisa la Lutheran na Clearwater kwa nyuma
Huduma nyingine ya muhimu ni kituo cha mafuta na kuoshea magari cha kisasa kabisa kuliko vituo vyote nilivyowahi kuona duniani. Kumbuka kuwa niliwahi kufika katika miji kadhaa mikubwa mikubwa kama vile Dar, Morogoro, Nairobi, Harare, Frankfurt, Sydney, Singapore, Tokyo, Hongkong, Miami, Paris, Amsterdam, Bombay, Atlanta, Dallas, Houston, Los Angeles, San Diego, Mwanza, Musoma, Sengerema, Tabora, Morogoro, Bunda, Tarime, London, Shanghai, Minneapolis, Anchorage, Tanga na miji minginyeo mikubwa mikubwa. Nikisema hiki ni kituo cha kisasa kabisa kuliko vyote duniani, nina maana hiyo. Kwa bahati mbaya nilishindwa kukipiga picha kwa kuona aibu kwa vile kulikuwa na watu wengi. Nikipata nafasi nitanyemelea nipate angalu picha moja ya kiwiziwizi. Vile vile kuna posta ndogo, duka la kinywaji (nikitaka Wine sasa hivi ninakwenda kwa mguu tu), Paharmacy, clubs and biahsra za aina tofauti tofauti.
Vile vile kule mwishoni mwa 45st kuna project inatokota. SuperWalmar, Target and menrads wanataka kanza ujenzi. bado walikuwa wanasubiri madiwani (commisioners) watoe kibali cha kuanza mambo. Utakaporudi hapa utakuta mabadiriko makubwa sana

0 Comments:
Post a Comment
<< Home